Mpendwa Bwana Yesu,
Njoo moyoni mwangu.
Nisamehe dhambi yangu.
Nioshe na kunitakasa.
Niweke huru.
Yesu, asante kwa kuwa ulikufa kwa ajili yangu.
Ninaamini kwamba umefufuka kutoka kwa wafu.
Na kwamba unarudi tena kwa ajili yangu.
Nijaze na Roho Mtakatifu.
Nipe shauku kwa waliopotea.
Njaa ya mambo ya Mungu.
Na ujasiri mtakatifu wa kuhubiri Injili ya Yesu Kristo.
Nimeokolewa!
Nimezaliwa mara ya pili!
Nimesamehewa!
Na niko njiani kuelekea Mbinguni.
Kwa sababu ninaye Yesu moyoni mwangu.
