Kama mhudumu wa Injili ya Yesu Kristo, ninakuambia leo kwamba dhambi zako zote zimesamehewa.

Siku zote kumbuka kumkimbilia Mungu, wala si kumkimbia Mungu, kwa sababu anakupenda na ana mpango mzuri kwa maisha yako.
